Sherehe za nane nane (8.8)
Tukiwa tumepata idhini ya kuwa Radio Washirika na Wizara ya Kilimo katika maonesho ya wakulima nane nane kwa mwaka huu .
CFM radio 103.3 Dodoma itaweka kambi maalum kwa ajili yako Mdau na mfanyabiashara ,katika maonesho ya wakulima nane nane ambayo yatafanyika katika Viwanja vya nzuguni Jijini Dodoma,yaaani ni Banda kwa Banda kwa matangazo ya Moja kwa moja, Wasiliana na idara ya Masoko kwa namba 0718675428 ,au kupitia email kombavero6@gmail.com
Kilimo ni mchongooooooo🔥