‘Mwana wetu alikufa. Sasa tunaweza kutumia mbegu zake kupata mjukuu’
Wanandoa nchini India wamesema “wamefurahi” baada ya mahakama kuamuru hospitali kuwakabidhi sampuli ya shahawa iliyogandishwa ya mtoto wao aliyekufa ili wapate mjukuu kwa njia ya uzazi. Amri ya kihistoria ya Mahakama Kuu ya Delhi ilikuja baada ya vita vya kisheria vya miaka minne. “Tulikuwa na bahati mbaya sana, tulimpoteza mtoto wetu. Lakini mahakama imetupa zawadi […]
‘Mwana wetu alikufa. Sasa tunaweza kutumia mbegu zake kupata mjukuu’ Read More »