Kituo cha umeme Kinyerezi chafanyiwa upanuzi; Transfoma za MVA 175 zafungwa
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amesema ukuaji wa kasi wa maendeleo na uchumi katika Mkoa wa Dar es Salaam unachangia kwa kiasi kikubwa kuwepo kwa ongezeko la mahitaji ya umeme. Ameyasema hayo leo 18 Novemba, 2024 wakati wa ziara yake kwenye Kituo cha kuzalisha umeme cha Kinyerezi jijini Dar es Salaam iliyolenga kukagua […]
Kituo cha umeme Kinyerezi chafanyiwa upanuzi; Transfoma za MVA 175 zafungwa Read More »