Mwanaume akamatwa kwa kumchoma kisu mwigizaji wa Bollywood
Polisi katika mji wa Mumbai nchini India wamemkamata mwanamume mmoja kuhusiana na shambulio la kisu dhidi ya mwigizaji wa Bollywood Saif Ali Khan wiki iliyopita. Khan, mmoja wa nyota wakubwa wa India, alidungwa kisu na mvamizi nyumbani kwake, katika shambulio lililoishangaza nchi hiyo. Anapata nafuu baada ya upasuaji. Siku ya Jumapili, polisi walisema wamemkamata mshukiwa mkuu, Mohammad […]
Mwanaume akamatwa kwa kumchoma kisu mwigizaji wa Bollywood Read More »