Bilionea na kiongozi wa kiroho Aga Khan afariki dunia

Bilionea mfadhili na kiongozi wa kiroho Aga Khan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88, shirika lake la hisani la Aga Khan Development Network limetangaza. Prince Karim Aga Khan alikuwa imamu wa 49 wa urithi wa Waislamu wa Ismailia, ambaye anafuatilia nasaba yake moja kwa moja hadi kwa Mtume Muhammad. “Alifariki dunia kwa amani” […]

Bilionea na kiongozi wa kiroho Aga Khan afariki dunia Read More »