Rais Samia akizindua ndege za mafunzo ya awali ya marubani na mabasi kwa JWTZ.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua na kugawa ndege za mafunzo ya awali ya Marubani na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwenye hafla iliyofanyika katika Kikosi cha Usafirishaji Jijini Dar es Salaam.

Rais Samia amesema atahakikisha Jeshi linapata vifaa madhubuti vinavyoendana na hali na mabadiliko ya kiusalama duniani ili kuhakikisha Tanzania iko salama.

0 0 votes
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x