Mlipuko waua Wachina wawili karibu na uwanja wa ndege wa Karachi nchini Pakistan
Raia wawili wa China wameuawa na takriban watu 10 kujeruhiwa katika shambulizi linaloshukiwa kuwa la kujitoa mhanga karibu na uwanja wa ndege wa Karachi nchini Pakistan. Mwili wa tatu, ambao bado haujatambuliwa rasmi, unafikiriwa kuwa wa mshambuliaji, BBC inaelewa. Ubalozi wa China nchini Pakistan ulisema mlipuko huo wa Jumapili usiku ulikuwa “shambulio la kigaidi” lililolenga […]
Mlipuko waua Wachina wawili karibu na uwanja wa ndege wa Karachi nchini Pakistan Read More »