Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Serikali ya Oman kwa kushiriki kikamilifu katika miradi ya maendeleo
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Serikali ya Oman kwa kushiriki kikamilifu katika miradi ya maendeleo kupitia taasisi mbalimbali za nchi hiyo zinazounga mkono Zanzibar kiufundi na kitaalamu. Rais Mwinyi amesema hayo Ikulu, Zanzibar, leo Jumatatu Septemba 23, 2024 alipokutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman anayeshughulikia masuala ya Utawala […]