Kiungo wa kati wa Man Utd McTominay ajiunga na Napoli
Napoli wamemsajili kiungo wa Manchester United Scott McTominay kwa ada ya £25.7m. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Scotland, 27, anaondoka akiwa ametumia maisha yake yote United – kwanza akisoma shule ya soka katika klabu hiyo akiwa na umri wa miaka mitano. McTominay alicheza mechi yake ya kwanza United mwaka 2017 na alicheza mechi 255 chini […]
Kiungo wa kati wa Man Utd McTominay ajiunga na Napoli Read More »