Jumla ya ekari 1,165 za mashamba ya bangi zateketezwa na kilogramu 102 za mbegu za bangi zakamatwa Morogoro
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na Wananchi na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama imefanya oparesheni maalum Mkoani Morogoro kwa muda wa siku tisa katika vijiji vya Nyarutanga, Lujenge na Mafumbo vilivyopo Wilaya za Morogoro vijijini na Kilosa ambapo katika vijiji vya Mafumbo na Lujenge Mamlaka imeteketeza jumla ya […]