Serikali yajipanga kudhibiti matukio ya kiuhalifu yanayotokea sehemu mbalimbali nchini na hatua kuchukuliwa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amekutana na kufanya kikao na Uongozi wa Jeshi la Polisi nchini ukiongozwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura ambapo kikao hicho kilihusu mambo yanayohusu Usalama na Amani ya nchi ikiwemo kujadili matukio ya kiuhalifu yanayotokea sehemu mbalimbali nchini na hatua zinazochukuliwa […]