Je, tunapaswa kuwa na wasiwasi gani kuhusu mpox?
Mwandishi wa habari za afya na sayansi•@JamesTGallagher Kuenea kwa kasi kwa ugonjwa wa mpoksi – kile kilichokuwa kikiitwa tumbili – barani Afrika kumetangazwa kuwa dharura ya kimataifa. Aina mpya ya virusi ndio kiini cha wasiwasi, lakini bado kuna maswali makubwa ambayo hayajajibiwa. Je, inaambukiza zaidi? Hatujui. Je, ni mauti kiasi gani? Hatuna data. Je, hili […]
Je, tunapaswa kuwa na wasiwasi gani kuhusu mpox? Read More »