cfm-admin

Matangazo ya moja kwa moja kutoka Tira @tira_tz kwenye maonesho ya kimataifa ya wakukima jijini Dodoma Tanzania leo hii agost 3, 2024 (TIRA)

Matangazo ya moja kwa moja kutoka Tira @tira_tz kwenye maonesho ya kimataifa ya wakukima jijini Dodoma Tanzania leo hii agost 3, 2024 Kama unahitaji biashara yako kukuwa kirahisi na kuwafikia wateja basi CFM TANZANIA 103.3 DODOMA INAKUPATIA punguzo lakutangaza nasi kwenye kipindi hiki cha maonesho ya Nane Nane USIHADITHIWE JARIBU KUTANGAZA NASI HAKIKA HAUTOJUTIA CFM 103.3 #simplythebest💯 🔥🔥🔥

Matangazo ya moja kwa moja kutoka Tira @tira_tz kwenye maonesho ya kimataifa ya wakukima jijini Dodoma Tanzania leo hii agost 3, 2024 (TIRA) Read More »

Matangazo ya moja kwa moja kutoka kwenye maonesho ya kimataifa ya wakukima jijini Dodoma Tanzania leo hii agost 3, 2024 (SUZA) https://www.instagram.com/officialsuza/

Maafisa kutoka Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Bw. Ali Shauri na Bi. Khadija Sadiq wakiwa studio za Redio CFM ya Mkoani Dodoma wakifanya mahojiano juu ya Udahili na Taarifa mbalimbali zinazohusu Chuo hicho.

Matangazo ya moja kwa moja kutoka kwenye maonesho ya kimataifa ya wakukima jijini Dodoma Tanzania leo hii agost 3, 2024 (SUZA) https://www.instagram.com/officialsuza/ Read More »

Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano na Uhusiano kwa Umma (DUWASA) Bi Rachel Muhando. (NANE NANE)

Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano na Uhusiano kwa Umma (DUWASA) Bi Rachel Muhando akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji DUWASA Mhandisi Aron Joseph wakati akielezea namna mamlaka hiyo inavyoshiriki maonesho ya wakulima nane nane ambayo kitaifa yanafanyika hapa Nzuguni Jijini Dodoma. Bi Muhando amesema DUWASA inashiriki maonesho hayo ikiwa na wajibu wa mkubwa wa kuihudumia

Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano na Uhusiano kwa Umma (DUWASA) Bi Rachel Muhando. (NANE NANE) Read More »

BUNDI NA NGEDERE WASABABISHA UMEME WA TRENI YA SGR KUKATIKA

Shirika la Reli Tanzania (TRC), limeomba radhi kufuatia hitilafu ya umeme iliyojitokeza kati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete na kusababisha treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) iliyokuwa inasafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma kusimama kwa muda wa saa mbili usiku wa jana July 30, 2024 ambapo limesema taarifa za awali zinaonesha

BUNDI NA NGEDERE WASABABISHA UMEME WA TRENI YA SGR KUKATIKA Read More »

Katika mauaji ya kiongozi wa Hamas -Blinken Marekani haikuhusika

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken alisema Jumatano kwamba Marekani haikuhusika katika mauaji ya kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh, huku akasisitiza umuhimu wa kusitishwa kwa mapigano huko Gaza. “Hili ni jambo ambalo hatukufahamu au kuhusika nalo. Ni vigumu sana kukisia,” Blinken alisema katika mahojiano na Channel News Asia wakati wa ziara yake

Katika mauaji ya kiongozi wa Hamas -Blinken Marekani haikuhusika Read More »

Majeruhi yamuweka nje ya uwanja Leny Yoro akiwa Man Utd

Mchezaji mpya wa Manchester United aliyesajiliwa kwa pauni milioni 59 Leny Yoro anatarajiwa kuwa nje ya msimu wa 2024/25 kutokana na jeraha la mguu. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 18, ambaye aliwasili kutoka Lille mwezi huu, alilazimika kuondoka wakati United ilipochapwa 2-1 na Arsenal kwenye Uwanja wa SoFi mjini Los Angeles Jumamosi iliyopita. Beki

Majeruhi yamuweka nje ya uwanja Leny Yoro akiwa Man Utd Read More »