cfm-admin

Hospitali ya Rufaa ya Benjamin Mkapa,imekuwa ya kwanza nchini kutoa huduma ya upandikizaji uroto.

Hospitali ya Rufaa ya Benjamin Mkapa (BMH) imekuwa ya kwanza nchini kutoa Huduma ya upandikizaji uloto kwa mgonjwa wa sikoseli ambaye anatofautiana kundi la damu na mchangiaji wake na hivyo kuifanya Tanzania kuwa nchi ya kwanza kwenye ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kutoa huduma hii. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya […]

Hospitali ya Rufaa ya Benjamin Mkapa,imekuwa ya kwanza nchini kutoa huduma ya upandikizaji uroto. Read More »