Yeyote atakayetuletea mateka na mateka watakao achiwa huru watazawadiwa dola Mil 5 :Netanyahu
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alisema dola milioni 5 zitatolewa kama zawadi kwa kila mateka aliyeachiliwa kutoka Gaza na wale ambao watasaidia kuwakomboa Waisraeli wanaoshikiliwa na Hamas watapewa njia ya kutoka katika eneo lililokumbwa na vita la Palestina. Netanyahu alitangaza zawadi hiyo wakati wa ziara fupi ya Gaza siku ya Jumanne ambapo alionyeshwa Ukanda […]