King Kiba kumsaini na kumtangaza msanii wa kike mwaka huu
Ikiwaa leo ni siku ya Mtoto wa kike Duniani Mwanamuziki Ali Kiba ametua Zanzibar kwa Lengo la kutoa sapport kwa wanawake kama ambavyo amekua akifanya kwa wanaume kwenye mipira kiba ameenda mbali zaid kwa kutangaza kua mwaka huu anatarajia kumtangaza msanii wa kike kwa lengo la kuthamini mtoto wa kike ambae atakua chini ya King […]
King Kiba kumsaini na kumtangaza msanii wa kike mwaka huu Read More »