Rapa wa Marekani, Maclemore aghairi onyesho la Dubai kuhusu vita vya Sudan
Rapa wa Marekani, Macklemore amesitisha onyesho lake lijalo la mwezi Oktoba huko Dubai, Falme za Kiarabu, kwa madai ya nchi hiyo kuhusika katika mzozo mbaya nchini Sudan. Alisema watu kwa muda wa miezi kadhaa wamekuwa wakimwomba kusitisha tamasha hilo kwa mshikamano na watu wa Sudan “na kususia kufanya biashara katika UAE kwa jukumu wanalofanya katika […]
Rapa wa Marekani, Maclemore aghairi onyesho la Dubai kuhusu vita vya Sudan Read More »