Bowen: Tishio la Marekani la kukata msaada wa kijeshi wa Israel ni ishara ya kukasirishwa na ahadi zilizovunjwa
Msaada wa kwanza katika muda wa wiki mbili umeingia kaskazini mwa Gaza kufuatia barua kutoka kwa Marekani ambayo iliipa Israeli siku 30 kuongeza ufikiaji wa kibinadamu, au hatari ya kukatwa kwa msaada wa kijeshi. Barua hiyo ni ukosoaji wa kina zaidi wa serikali ya Biden juu ya jinsi Israeli ilivyozuia misaada ya kibinadamu kwa Gaza. […]