Trump anasema hatagombea tena iwapo atashindwa katika uchaguzi
Rais wa zamani Donald Trump amesema hatarajii kugombea tena uchaguzi mwaka 2028 iwapo atashindwa katika uchaguzi wa urais wa Marekani utakaofanyika Novemba mwaka huu. Trump, mwenye umri wa miaka 78, amekuwa mgombea wa chama cha Republican kwa chaguzi tatu za kitaifa mfululizo na amekijenga upya chama hicho kwa miaka minane iliyopita. Katika mahojiano na Sinclair […]
Trump anasema hatagombea tena iwapo atashindwa katika uchaguzi Read More »