Mohamed Al Fayed anayetuhumiwa kwa ubakaji mara nyingi na wafanyikazi
Wanawake watano wanasema walibakwa na bosi wa zamani wa Harrods Mohamed Al Fayed walipokuwa wakifanya kazi katika duka la kifahari la London. BBC imesikia ushuhuda kutoka kwa wanawake zaidi ya 20 waliokuwa wafanyakazi ambao wanasema bilionea huyo, aliyefariki mwaka jana akiwa na umri wa miaka 94, aliwanyanyasa kingono – ikiwa ni pamoja na ubakaji. Filamu […]
Mohamed Al Fayed anayetuhumiwa kwa ubakaji mara nyingi na wafanyikazi Read More »