Trump anataka kuchukua Greenland: Njia nne sakata hii inaweza kwenda
Katika wiki za hivi karibuni, Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameonyesha nia mpya ya kuidhibiti Greenland, eneo ambalo linajitawala kwa kiasi kikubwa la Denmark katika Arctic na kisiwa kikubwa zaidi duniani. Kwanza alionyesha nia ya kuinunua Greenland mnamo 2019, wakati wa muhula wake wa kwanza kama rais, lakini wiki hii alienda mbali zaidi, akikataa […]
Trump anataka kuchukua Greenland: Njia nne sakata hii inaweza kwenda Read More »