Magonjwa yanaenea Gaza huku maji taka yakichafua kambi na pwani
Maji katika sehemu za ufuo wa Mediterania wa Gaza yameanza kubadilika rangi huku wataalam wa afya wakionya kuhusu kuenea kwa maji taka na magonjwa katika eneo hilo. Picha za satelaiti, zilizochambuliwa na BBC Arabic, zinaonyesha kile kinachoonekana kuwa ni utiririshaji mkubwa wa maji taka kwenye pwani ya Deir al-Balah. Afisa mmoja wa eneo hilo aliiambia […]
Magonjwa yanaenea Gaza huku maji taka yakichafua kambi na pwani Read More »