Top News

BINTI WA YOMBO ALIKUA ‘KAHABA’ KAMANDA WA POLICE DODOMA ‘THEOPISTA MALLYA’

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Theopista Mallya amesema jalada la kesi ya vijana watano wanaotuhumiwa kutekeleza tukio la ubakaji na ulawiti wa binti anayedaiwa kuwa mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam limekamilika. Vijana hao wanaodaiwa kutumwa na afande, wanne kati ya sita wameshakamatwa ambao walipanga na kutekeleza uhalifu huo. Tukio hilo liliibua […]

BINTI WA YOMBO ALIKUA ‘KAHABA’ KAMANDA WA POLICE DODOMA ‘THEOPISTA MALLYA’ Read More »

TANZANIA NI SALAMA, HAKUNA UGONJWA WA MPOX

DODOMA Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu ametoa taarifa ya mwenendo wa ugonjwa wa MPOX na kuwaondoa hofu watanzania kuhusu uwepo wa ugonjwa huo hapa nchini na kuwasisitiza watanzania Kuendelee kuchukua tahadhari. Prof. Nagu ameyasema hayo leo Agosti 17, 2024 kwenye taarifa aliyoitoa kwa wananchi na kuelezea jitihada mbalimbali zinazofanywa na Wizara ya Afya

TANZANIA NI SALAMA, HAKUNA UGONJWA WA MPOX Read More »

Nukuu za Freeman Mbowe mbele ya waandishi wa habari

Ni Agosti 14,2024 ambapo Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amezungumza na waandishi wa Habari na hizi ni baadhi ya nukuu  zake “Kawaida jeshi la Polisi linatumia nguvu pale mtu anapopinga,” Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe. “Kwenye Jeshi la Polisi kuna watu wema,”Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman

Nukuu za Freeman Mbowe mbele ya waandishi wa habari Read More »

Katika mauaji ya kiongozi wa Hamas -Blinken Marekani haikuhusika

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken alisema Jumatano kwamba Marekani haikuhusika katika mauaji ya kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh, huku akasisitiza umuhimu wa kusitishwa kwa mapigano huko Gaza. “Hili ni jambo ambalo hatukufahamu au kuhusika nalo. Ni vigumu sana kukisia,” Blinken alisema katika mahojiano na Channel News Asia wakati wa ziara yake

Katika mauaji ya kiongozi wa Hamas -Blinken Marekani haikuhusika Read More »

Hospitali ya Rufaa ya Benjamin Mkapa,imekuwa ya kwanza nchini kutoa huduma ya upandikizaji uroto.

Hospitali ya Rufaa ya Benjamin Mkapa (BMH) imekuwa ya kwanza nchini kutoa Huduma ya upandikizaji uloto kwa mgonjwa wa sikoseli ambaye anatofautiana kundi la damu na mchangiaji wake na hivyo kuifanya Tanzania kuwa nchi ya kwanza kwenye ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kutoa huduma hii. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya

Hospitali ya Rufaa ya Benjamin Mkapa,imekuwa ya kwanza nchini kutoa huduma ya upandikizaji uroto. Read More »