Bowen: Mashambulio ya waasi wa Syria ni ya kushangaza – lakini usimuondolee mbali Assad
Vita vilivyorejelewa nchini Syria ni anguko la hivi punde zaidi kutokana na machafuko ambayo yameikumba Mashariki ya Kati tangu mashambulizi ya Hamas dhidi ya Israel tarehe 7 Oktoba mwaka jana. Mashambulizi hayo, na mwitikio wa Israeli, ulipandisha hali ya mambo. Matukio nchini Syria katika siku chache zilizopita ni uthibitisho zaidi kwamba vita vinavyoikumba Mashariki ya […]
Bowen: Mashambulio ya waasi wa Syria ni ya kushangaza – lakini usimuondolee mbali Assad Read More »