Top News

Angela Merkel juu ya Putin, Trump na kutetea urithi wake

Kansela wa zamani wa Ujerumani, Angela Merkel, aliwahi kutajwa kuwa mwanamke mwenye nguvu zaidi duniani. Hapa anazungumza na mwandishi wa BBC Katya Adler kuhusu Ukraine, tishio la nyuklia la Vladimir Putin – na jinsi alivyomshughulikia Donald Trump. Angela Merkel aliongoza Ujerumani kwa miaka 16. Alikuwepo wakati wa mzozo wa kifedha, mzozo wa wahamiaji wa 2015 […]

Angela Merkel juu ya Putin, Trump na kutetea urithi wake Read More »

Trump amteua Pam Bondi kama mwanasheria mkuu baada ya Matt Gaetz kujiondoa

Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemteua mwendesha mashtaka mkongwe Pam Bondi kuwa mteule wake mpya wa mwanasheria mkuu, saa chache baada ya Matt Gaetz kuondoa jina lake kuzingatiwa. Bondi ana rekodi ndefu katika utekelezaji wa sheria na hapo awali aliwahi kuwa mwanasheria mkuu wa Florida. Mshirika wa muda mrefu wa Trump, Bondi alikuwa sehemu

Trump amteua Pam Bondi kama mwanasheria mkuu baada ya Matt Gaetz kujiondoa Read More »

Waendesha mashitaka wakubaliana kuchelewesha hukumu ya Rais mteule Donald Trump

Waendesha mashtaka mjini New York wameiambia mahakama kuu ya jimbo hilo kwamba watakubali kucheleweshwa kwa hukumu ya rais mteule Donald Trump kwa kukutwa na hatia ya ulaghai wa pesa, lakini wanapinga jaribio lolote la timu ya Trump kutaka kesi hiyo itupiliwe mbali. Mwezi Mei, Trump alikuwa rais wa kwanza wa zamani wa Marekani kuhukumiwa kwa

Waendesha mashitaka wakubaliana kuchelewesha hukumu ya Rais mteule Donald Trump Read More »

Yeyote atakayetuletea mateka na mateka watakao achiwa huru watazawadiwa dola Mil 5 :Netanyahu

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alisema dola milioni 5 zitatolewa kama zawadi kwa kila mateka aliyeachiliwa kutoka Gaza na wale ambao watasaidia kuwakomboa Waisraeli wanaoshikiliwa na Hamas watapewa njia ya kutoka katika eneo lililokumbwa na vita la Palestina. Netanyahu alitangaza zawadi hiyo wakati wa ziara fupi ya Gaza siku ya Jumanne ambapo alionyeshwa Ukanda

Yeyote atakayetuletea mateka na mateka watakao achiwa huru watazawadiwa dola Mil 5 :Netanyahu Read More »

Diddy anakabiliwa na kesi zaidi ya dazeni mbili akiwa jela

Mwanamuziki wa Hip-hop Sean “Diddy” Combs kwa sasa yuko chini ya ulinzi wa serikali akisubiri kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za ulaghai na ulanguzi wa ngono. Kukamatwa kwake huko New York kulikuja huku kukiwa na msururu wa mashtaka ya madai ya unyanyasaji wa kijinsia na unyanyasaji wa kimwili, baadhi yakirejea miaka ya 1990. Zaidi ya watu

Diddy anakabiliwa na kesi zaidi ya dazeni mbili akiwa jela Read More »

Trump anamteua mwanzilishi mwenza wa WWE Linda McMahon kuwa katibu wa elimu

Donald Trump amemteua mwanzilishi mwenza wa World Wrestling Entertainment (WWE) na mwenyekiti mwenza wake wa mpito, Linda McMahon, kama mteule wake wa katibu wa elimu. Mshirika wa muda mrefu wa Trump, McMahon aliongoza Utawala wa Biashara Ndogo wakati wa urais wa kwanza wa Trump na kutoa mamilioni ya dola kwa kampeni yake ya urais. Akitangaza

Trump anamteua mwanzilishi mwenza wa WWE Linda McMahon kuwa katibu wa elimu Read More »

Kituo cha umeme Kinyerezi chafanyiwa upanuzi; Transfoma za MVA 175 zafungwa

Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amesema ukuaji wa kasi wa maendeleo na uchumi katika Mkoa wa Dar es Salaam unachangia kwa kiasi kikubwa kuwepo kwa ongezeko la mahitaji ya umeme. Ameyasema hayo leo 18 Novemba, 2024 wakati wa ziara yake kwenye Kituo cha kuzalisha umeme cha Kinyerezi jijini Dar es Salaam iliyolenga kukagua

Kituo cha umeme Kinyerezi chafanyiwa upanuzi; Transfoma za MVA 175 zafungwa Read More »

‘Nimekuwa nikikudanganya… samahani kwa hilo’: Mwanasiasa wa Uingereza aliyenaswa akidanganya kifo chake

Wakati nguo za John Stonehouse zilipopatikana kwenye rundo kwenye Ufuo wa Miami tarehe 20 Novemba 1974, watu wengi walidhani kwamba Mbunge huyo wa Uingereza alikuwa amezama majini alipokuwa akiogelea – hadi alipotokea Australia akiwa hai na mwenye afya njema katika mkesha wa Krismasi. Katika Historia inaangalia hadithi isiyo ya kawaida ya mtu aliyekufa mara mbili.

‘Nimekuwa nikikudanganya… samahani kwa hilo’: Mwanasiasa wa Uingereza aliyenaswa akidanganya kifo chake Read More »

Takriban malori 100 ya msaada wa chakula huko Gaza yamepora kwa nguvu, shirika la Umoja wa Mataifa linasema

Msafara wa malori 109 ya misaada ya Umoja wa Mataifa yaliyokuwa yamebeba chakula yaliporwa kwa nguvu huko Gaza siku ya Jumamosi, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina (Unrwa) linasema. Malori tisini na saba kati ya hayo yalipotea na madereva wake walilazimika kwa mtutu wa bunduki kushusha misaada yao baada ya kupita

Takriban malori 100 ya msaada wa chakula huko Gaza yamepora kwa nguvu, shirika la Umoja wa Mataifa linasema Read More »

Viongozi wakuu wa Hong Kong wanaounga mkono demokrasia wahukumiwa kifungo jela

Mahakama ya Hong Kong imewahukumu viongozi wakuu wanaounga mkono demokrasia kifungo cha miaka jela kwa kosa la uasi, kufuatia kesi yenye utata ya usalama wa taifa. Benny Tai na Joshua Wong walikuwa miongoni mwa wanaojiita Hong Kong 47 kundi la wanaharakati na wabunge waliohusika katika mpango wa kuchagua wagombea wa upinzani kwa uchaguzi wa mitaa.

Viongozi wakuu wa Hong Kong wanaounga mkono demokrasia wahukumiwa kifungo jela Read More »