Takriban malori 100 ya msaada wa chakula huko Gaza yamepora kwa nguvu, shirika la Umoja wa Mataifa linasema
Msafara wa malori 109 ya misaada ya Umoja wa Mataifa yaliyokuwa yamebeba chakula yaliporwa kwa nguvu huko Gaza siku ya Jumamosi, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina (Unrwa) linasema. Malori tisini na saba kati ya hayo yalipotea na madereva wake walilazimika kwa mtutu wa bunduki kushusha misaada yao baada ya kupita […]