Uturuki yashambulia maeneo ya PKK baada ya shambulio baya karibu na Ankara
Serikali ya Uturuki imesema jeshi lake lilishambulia maeneo ya Iraq na Syria yenye uhusiano na kundi la wanamgambo wa Kikurdi PKK, baada ya kulilaumu kwa shambulizi karibu na Ankara na kuua takriban watu watano. Video mbalimbali za shambulio la mapema Jumatano zinaonyesha watu wasiopungua wawili wakifyatua bunduki karibu na lango la Kiwanda cha Anga za […]
Uturuki yashambulia maeneo ya PKK baada ya shambulio baya karibu na Ankara Read More »