MAKALA BIASHARA HARAMU YA BINADAMU:
BIASHARA HARAMU YA BINADAMU Nianze kwa kukupa tafsiri kwa ufupi, au maana ya Biashara haramu ya Binadamu au kama wengine wakitambua kama, Usafirishaji haramu wa binadamu nami niseme yote sawa, hii Ni biashara ya binadamu kwa madhumuni ya kazi ya kulazimishwa, utumwa wa ngono, kutumikishwa katika kazi hata kuchukuliwa viungo vya mwanadamu na kuuzwa kwa […]
MAKALA BIASHARA HARAMU YA BINADAMU: Read More »