Ni official sasa kamati ya Tanzania Music Awars TMA imeanza kutangaza Nominees wanaowania tuzo hizo za Muziki nchini kwa kuanza na category tatu ambazo ni Mwanamuziki Bora wa Kiume wa Mwaka, Wimbo Bora wa Taarabu wa Mwaka na Best Song East, West Southern Africa
1 Wimbo Bora wa Taarabu wa Mwaka…
a) Watu na Viatu – Malkia Layla Rashid
b) Hatuachani – Amina Kidevu
c) Bila Yeye Sijiwezi- Mwinyi Mkuu
d) Sina Wema – Mwasiti Mbwana
e) DSM Sweetheart – Salha
2 BEST SONG EAST, WEST #SOUTHERN AFRICA
a) People – Libianca
b) American Love – Qing Madi
C) Lonely at the Top – Asake
d) Unavailable – Davido ft Musa Keys
e) Mnike – Tyler ICU
3 MWANAMUZIKI BORA WA KIUME WA MWAKA
a) MARIOO – Shisha
b) Diamond Platnumz – Shuu
C) Harmonize – Single Again
d) Alikiba – Sumu
E) Jay Melody – Nitasema
Kamati ya Tuzo inayoongozwa na Mwenyekiti wake David Minja na Makamu Mwenyekiti Seven Mosha wamesema kuwa category nyingine zitaendelea kutangazwa kila baada ya muda kupitia official Page ya Pepsi na page ya millardayo huku zoezi la kupigia kura litafunguliwa Rasmi siku ya Jumanne ijayo ya Sept 3