King Kiba kumsaini na kumtangaza msanii wa kike mwaka huu

Ikiwaa leo ni siku ya Mtoto wa kike Duniani Mwanamuziki Ali Kiba ametua Zanzibar kwa Lengo la kutoa sapport kwa wanawake kama ambavyo amekua akifanya kwa wanaume kwenye mipira

kiba ameenda mbali zaid kwa kutangaza kua mwaka huu anatarajia kumtangaza msanii wa kike kwa lengo la kuthamini mtoto wa kike ambae atakua chini ya King Music na ngoma za Msanii huyo tayari zimekamilika zikiwemo Colabo la yeye na Msanii huyo ambae alishindwa kumtaja

Ali kiba ameamua kujitoa kwa kudhuria kwenye Kigoda cha waschana ambacho kinakwenda kufanyika eneo la nyamanzi ambapo katika kuhakikisha anawasaidia wanawake kesho anatarajiwa kuzungumza na wanawake Visiwani Zanzibar

0 0 votes
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x
Scroll to Top