Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano na Uhusiano kwa Umma (DUWASA) Bi Rachel Muhando. (NANE NANE)

Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano na Uhusiano kwa Umma (DUWASA) Bi Rachel Muhando akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji DUWASA Mhandisi Aron Joseph wakati akielezea namna mamlaka hiyo inavyoshiriki maonesho ya wakulima nane nane ambayo kitaifa yanafanyika hapa Nzuguni Jijini Dodoma.

Bi Muhando amesema DUWASA inashiriki maonesho hayo ikiwa na wajibu wa mkubwa wa kuihudumia jamii katika eneo la kuwapatia huduma Bora ya maji safi na Salama.

Duwasa itakuwepo katika maonesho hayo kwa siku zote nane kuanzia Tarehe 01 hadi 08 mwezi wa nane huu.

Ukifika Katika viwanja vya maonesho ya wakulima nane ambayo kitaifa yanafanyika hapa Nzuguni Jijini Dodoma Banda la Mamlaka ya maji safi na usafi Mazingira Dodoma (DUWASA ) wapo jirani kabisa na Banda la Mamlaka ya Usimamizi wa huduma za Nishati na maji (EWURA). @duwasatz

0 0 votes
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x
Scroll to Top