Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tayari amewasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimaitaifa cha Arusha (AICC), jijini Arusha katika ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma kwa mwaka 2024, leo Agosti 28, 2024.
Subscribe
Login
0 Comments
Oldest